Olympia

Sunday, April 28, 2013

Cooperates Night

Ni paty ya Ma cooparates Wote Mjini Dar es Salaam Ndani ya Olympia Club, ni bata kufurahia na mziki mzuri kwa wenye swaga za kijanja.

Ladies Free ndani ya Olympia Club

Pendeza  na utokelezee ndani ya olympia clubu kila alikhamis yako upate mixing za ukweli na wadada watanashani wakitupia kwenye siku hiyo

Experience good Music Ndani ya Olympia Club

Club Mpya ya kijanja mjini Maeneo ya Sinza Mori Ndo Habari Ya mjini Dar es salaam,
Club ya kisasa  full ice za kutosha na Ma dj!  wa kutosha .