Club Olympia
Sunday, April 28, 2013
Cooperates Night
Ni paty ya Ma cooparates Wote Mjini Dar es Salaam Ndani ya Olympia Club, ni bata kufurahia na mziki mzuri kwa wenye swaga za kijanja.
Ladies Free ndani ya Olympia Club
Pendeza na utokelezee ndani ya olympia clubu kila alikhamis yako upate mixing za ukweli na wadada watanashani wakitupia kwenye siku hiyo
Experience good Music Ndani ya Olympia Club
Club Mpya ya kijanja mjini Maeneo ya Sinza Mori Ndo Habari Ya mjini Dar es salaam,
Club ya kisasa full ice za kutosha na Ma dj! wa kutosha .
Club ya kisasa full ice za kutosha na Ma dj! wa kutosha .
Subscribe to:
Posts (Atom)